Kabla
ya kuchukuliwa WCB, Raymond alikuwa msanii mwenye kipaji ndani ya Tip
Top Connection lakini maisha yalikuwa yakimwendea kombo.
Ilimlazimu
kuvumilia na kusubiria zamu yake ya kutoka kwa muda mrefu kiasi
ambacho hata ndugu zake kwao Mbeya walimkatia tamaa na kumsihi arudi
tu.
“Namshukuru
Mungu kwasababu nilishapata tabu sana. Kuna muda nilikuwa nakaa
mwenyewe, sitaki kulia lakini machozi yananitoka kwasababu unapita
kwenye situation ngumu, kuna muda unajiona una bahati mbaya,” anasema
entertaiment
Monday, April 25, 2016
0 Response to "SIMULIZI: RAYMOND asimulia alivyopata tabu Kabla ya Kukutana DIAMOND PLATNUM"
Post a Comment