Picha: Odama Atoa Sadaka Kwenye Kituo cha Kulelea Watoto.
Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ akiwa na wasanii wenzake siku ya jana walitembelea na kutoa sadaka kwenye kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazigira magumu, kituo cha Kituo Cha UMRA Kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar
0 Response to "Picha: Odama Atoa Sadaka Kwenye Kituo cha Kulelea Watoto."
0 Response to "Picha: Odama Atoa Sadaka Kwenye Kituo cha Kulelea Watoto."
Post a Comment