Nafasi Mbalimbali za Kazi Toka Benki ya NMB....Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 4 Mwezi wa 5

blogger templates
WINTECH ELEVATORS TANZANIA LTD
NAFASI ZA KAZI

Tunatafuta watu wenye Taaluma zifuatazo

1.    Sales & Marketing Executives (wanaume tu)
2.    Accounts
3.    HR Manager

Note:

•    Muombaji awe na ujuzi wa kazi usiopungua miaka miwili (2)
•    Muombaji awe anajua lugha ya kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha.

Waombaji wote wafike siku ya tarehe 30/04/2016 kwaajili ya interview. Muda saa 1:00 Mchana hadi 4:00 jioni. Katika ofisi yetu Diamond Plaza floor ya 2.

Kwa maulizo zaidi usisite kutupigia kwa namba ya simu:
+255 766 554 433/ 767 914 917



Source: Mwananchi 23rd April, 2016

0 Response to "Nafasi Mbalimbali za Kazi Toka Benki ya NMB....Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 4 Mwezi wa 5"

Post a Comment