Mwanamuziki mkongwe wa Kongo, Papa Wemba afariki dunia.

blogger templates
2111749
Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast baada ua kuugua. Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66

Yang Keren Lainnya :

0 Response to "Mwanamuziki mkongwe wa Kongo, Papa Wemba afariki dunia."

Post a Comment