Mpenzi wa Kala Jeremiah ajifungua mtoto wa kiume, anaitwa ‘Alama

blogger templates






Kala
Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Kala amesema jina Alama limetokana na jina lake la zamadi, ‘Mark’.
“Kusema kweli nafuraha sana kupata mtoto wa kwanza wakiume,” alisema Kala. “Mama yake nipo naye sema sikainaye ila ni mtu wangu wa muhimu sana kwa sababu ameniletea kiumbe,”
Aliongeza, “Mwanangu anaitwa Alama, vyovyote unavyotaka kumuita, ukitaka umwite alama ya kuuliza, sijui nini wewe tu. Nimempa jina hilo kwa sababu ni jina langu ambalo nilikuwa nalitumia wakati nauza mtumba, hata marafiki zangu wanajua nilikuwa naitwa Mark, sema nikalibadili na kuliweka Alama, kwa kiswahili,

0 Response to " Mpenzi wa Kala Jeremiah ajifungua mtoto wa kiume, anaitwa ‘Alama"

Post a Comment