MATUKIO DUNIANI KWA WIKI ILIYOISHA JANA

blogger templates













Ndani ya siku moja kuna mengi yanaweza kutokea, lakini katika wiki moja, matukio ya kutisha yameikumba dunia, ambapo vifo na majeruhi wengi yametokea. Kuanzia huko Chile ambapo kumekuwa na mlipuko wa Volcano Calbuco uliohamisha maelfu ya wakazi nchini humo, hadi Nepal ambapo zaidi ya wananchi 3500 wanahisiwa kufariki dunia, huku zaidi ya wengine 6000 wakijeruhiwa. Kuachana na hilo, Kaskazini mwa bara la Afrika, majanga ya melei kuzama yanazidi kutokea ambapo wahamiaji wamekuwa wakijaribu kuvuka bahari ili kusaka maisha bora barani Ulaya, Italia ikiwa ni nchi ya kupitia

0 Response to "MATUKIO DUNIANI KWA WIKI ILIYOISHA JANA"

Post a Comment