KUTOKA BUNGENI: BAJETI ZA kila wizara mezani leo bungeni

blogger templates

MACHO na masikio ya wananchi yameelekezwa leo bungeni kusikia jinsi Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu inavyowasilisha makadirio ya bajeti.

Sambamba na hilo, pia hati nyingine itakayowasilishwa bungeni leo ni Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2014/15 , ambapo serikali itatakiwa kutoa majibu ya hoja mbalimbali za ukaguzi huo.

0 Response to "KUTOKA BUNGENI: BAJETI ZA kila wizara mezani leo bungeni"

Post a Comment