Tangu Nay wa Mitego aachane na Shamsa Ford, bado hajamuonesha mrembo mwingine aliyeuhamishia moyo wake.
Na sasa huenda amempata yule anayeweza kuanza kuwaonesha mashabiki.
Rapper huyo wa ‘Shika Adabu Yako’ amepost kwenye Instagram picha ya
msichana mrembo mwenye asili ya Kisomali na kuashiria kuwa tayari
ameshampata mrithi wa ex wake.
Na hivi karibuni Nay ambaye amejitolea kumsaidia mzazi mwenzake, Zuwena
aliyefungwa jela miaka miwili kwa kosa la kutishia kusambaza picha za
utupu za mpenzi wake, aliiambia Bongo5 kuwa tayari ana mpenzi mwingine.
Unamuonaje shemeji/wifi yetu mpya?
News
Thursday, April 28, 2016
0 Response to " Huyu Hapa Ndio Mrembo Mpya wa Mwanamuziki Nay wa Mitego?"
Post a Comment