Ijumaa ya March 29, 2013 Wakazi wa mtaa wa Hindhila gandhi, Kisutu Jijini Dar es salaam waligubikwa na majonzi na vilio, mara baada ya jengo llenye ghorofa 16 kuanguka na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 30 na majeruhi wapatao 17, ambapo sababu kubwa ilidaiwa kuwa lilikuwa linajengwa chini ya kiwango
Wakati ripoti ya Tanzania ikitanabaisha hayo, leo nchini Kenya imeripotiwa zaidi ya watu 7 wamefariki baada ya jumba moja kuporomoka mjini Nairobi
Watu zaidi ya 7 wameripotiwa kufariki na wengine zaidi 141 kujeruhiwa vikali baada ya jumba moja kuporoka kutokana na mvua kali zinazo endelea kunyesha nchini humo.
Watu 44 wamekwisha okolewa kutoka katika mabaki ya jumba hilo lililoporomoka.
Mvua kali zilinyesha mjini Nairobi na kusababisha mafuriko.
Vikosi vya uokozi bado
0 Response to "Ajali: Mvua Zasababisha Jumba la Ghorofa Kuporomoka Kenya"
Post a Comment